Mpangopesa

Tatizo la kujijenga kiuchumi ni moja kati ya tatizo linalo kumba aslimia nyingi sanaa za watu duniani kote.
 
Kwa kufahamu hilo sisi kama timu kwa ujumla tumeamua kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala mbali mbalimbali ya kiuchumi

Mambo ambayo tutazungumzia katika blog hii ni haya yafuatayo.
1. Namna ya kuanzisha biashara ndogondogo hata biashara kubwa.

2.Namna ya kuendesha biashara kubwa na ndogo.

3.Namna ya kunufaika na changamoto zilizo katika maeneo ulipo.

4.   Biashara kubwa na ndogo Mtanda faini 
A, Hapa tuta kufundisha namna ya kutengeneza majukwaa mtandaoni

B,Namna ya kuajiliwa mtandaoni 
 
C, Kukujuza fursa zipatikanazo  mtandaoni za kukuingizia kipato 

D, Namna ya kutumia mitandao ya kijamii kutengeneza pesa

5,Kutoa mwangaza kuhusu maisha


🌍 Jinsi ya Kuanza Kulipwa Kupitia YouTube (Usome polepole – hapa ndipo safari ya mapato ya mtandaoni inaanza) Fikiria hili:


 📱 Unatumia simu kila siku, unaangalia YouTube, unacheka, unajifunza… Lakini je, umewahi kujiuliza kwa nini wengine wanalipwa na wewe unaangalia bure?

 Habari njema ni hii 👉 na wewe unaweza kuwa mmoja wao. 🚀 Hatua ya Kwanza: Fahamu Siri ya YouTube YouTube si kwa ajili ya watu mashuhuri tu. Ni kwa watu wa kawaida wanaoamua: Kuanza Kuwa wavumilivu Kujifunza taratibu 👉 Hapa siyo bahati.
 Ni mfumo. ✅ Masharti ya YouTube Kukulipa Usipite hapa haraka, hili ndilo lango la pesa 💰 
Ili YouTube ikuone kama mshirika: ⭐ Subscribers 1,000 ⭐ Masaa 4,000 ya kutazamwa au ⭐ Views milioni 10 za Shorts ndani ya siku 90 ⭐ Akaunti ya AdSense 👉

 Ukifikiri haya ni magumu, kumbuka: video

 1. Nzuri inaweza kubadilisha kila kitu. 🎯 Hatua ya Pili: Chagua Mada Itakayokulipa Usifanye kila kitu. Fanya kitu kimoja vizuri sana. Jiulize:  
Ni kitu gani watu hunipongeza nikifanya? 

Ni swali gani watu huniniuliza mara nyingi?

 Ni maarifa gani ningeweza kufundisha hata bure? 

Mada zinazolipa vizuri: 

Elimu (masomo, Stata, programming, tutorials) 
Burudani (vichekesho, simulizi) 
Teknolojia Maisha & motisha 👉 

Ukichagua mada sahihi, nusu ya kazi imeisha. 

🎥 Hatua ya Tatu: Video Zisizochosha Watu hawapendi video ndefu zisizo na maana. Wanapenda: Sauti safi Maelezo wazi 

Mwanzo unaovutia ndani ya sekunde 5 💡 Mbinu ya dhahabu: “Waambie wanachopata kabla hawajapata.”
 Mfano: "Leo nitakuonyesha jinsi video moja ilivyoweza kunipa subscribers 100 bila matangazo." 
👉 Hapo tayari mtu hataki kuondoka. 💰 Hatua ya Nne: 
Njia Zaidi ya Moja za Kulipwa Usifikiri YouTube hulipa kwa matangazo tu. 
YouTube ni mashine ya pesa kama unajua kuitumia:
 💵 Matangazo (Ads) 
💎 Memberships 
💬 Super Chat 
🤝 Sponsorships 
🔗 Affiliate links 
👉 Hata kabla ya kulipwa Ads, bado unaweza kupata pesa. 

⚠️ MAKISA YANAYOUA NDOTO HaYya YAKIFANYIKA, SAFARI INAISHIA NJIANI: 


*Kuiga watu bila ubunifu Kununua views/subscribers 

*Kukata tamaa baada ya video 5 Kupakia bila mpango 
👉 Ukweli mchungu: Aliyefanikiwa hakuwahi kuacha mapema. 

🔥 Siri ya Wanaofanikiwa Wanaofanikiwa YouTube: Hawangoji kamera nzuri Hawangoji wakamilike Walianza na walichonacho 👉 Ukimsubiri ukamilifu, utazeeka bila kuanza. 

🪜 Hatua ya Mwisho: Anza Leo Sio kesho. Sio wiki ijayo. 👉 Leo. 
Tengeneza channel Pakia video ya kwanza Jifunze unapokwenda 📌 Kumbuka: YouTube haibadilishi maisha mara moja, lakini ikianza… haiachi.

Comments